Ndugu yangu kumbuka kuwa pozi lako nalo ni chachu ya kudumisha penzi unatakiwa kukaa katika mapozi ya mvuto kwa mpenzi wako. Katika tafiti mbalimbali ikiwemo ya Mary Jackson zinabainisha kuwa wanawake wenye mapozi mengi wanapendwa na wanaume wengi zaidi ya wale ambao hawajui mapozi.Naye Horaw Pierre wa ufarasa alifanya utafiti katika jiji la maraha kuzidi majiji yote duniani "Paris" na kubaini kuwa wanawake wengi wenye mapozi wanapendwa sana na wanaume lakini wengi wa wanawake hao wanaolewa lakini ni wepesi sana wa kuachika kutokana na fikra zao za kujihisi kuwa wao ni wazuri na kufanya kiburi kwa waume zao. Pia naye Ching Annig wa china alibainisha katika utafiti wake kuwa lisha ya kupedwa na wanaume wengi pia wanawake hao wenye mapozi ni wataalam sana wa kula chakula cha usiku kuliko wale ambao hawana mapozi.
Je wewe mfuatiliaji wa mblogu hii unasemaje juu ya suala hili ni kweli wanawake wenye mapozi wanapendwa na wanume zaidi ya wale ambao hawana mapozi?

7 comments:
Mkuu hii picha mbona unanipa ajali sana? nimepata ajali hivi karibuni mara baada ya kuiona hii picha. sasa Mkuu mbona inabidi niandikiwe RB ya polisi labda itanisaidia. Hii picha kuna mahali naona giza kwani ghafla nimepata ajali kaka.
ha ha ha ha ha haya Mkuu utamu wa mambo unahitaji HAMU lakini UTAMU WA MAUMBILE upoje? ha ha ha usicheke mkuu
kwaherii
Umenichekesha sana kaka. Hapo kweli kitu kimetulia
mtu wangu nimepata ajali hapa nilipo maana itabidi uwaite polisi wanipeleke upanga la sivyo nafwaaaaaa. mmm mkuu si umeona kilivyonona sasa hii jalai kwangu siyo mchezo yaaaaannni we acha tu
Ngoja nimwambie huyu dada aje huko akusaidie kukupepeta utamu
anaweza kutwanga nakupepeta kweli? maana namchngulia sana ile sehemu inakuwa kama almasi vile ni wapi pale kigogo kwa mbele au kwa nyuma?
mkuu nachungulia kinoma yaani pasua kichwa
Mie sichangii naogopa
🌹 Ushuhuda Wangu Kuhusu Dkt. Dawn – Mtu Aliyerejesha Nyumba Yangu na Furaha Yangu
Nataka kushiriki ushuhuda wangu wa dhati kuhusu jinsi Dkt. Dawn alivyobadilisha maisha yangu kabisa.
Kwa karibu mwaka mmoja, mume wangu aliniacha mimi na watoto wetu wawili. Aliacha kujali, akaacha kupiga simu, na alikuwa ameenda kabisa. Nilikuwa nimevunjika moyo, nimechanganyikiwa, na karibu kupoteza tumaini. Kisha siku moja, rafiki aliniambia kuhusu Dkt. Dawn, mtu wa kiroho aliyepewa kipawa na ulimwengu kuwasaidia watu kurejesha upendo na amani.
Mwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini kitu kuhusu maneno yake kilinipa amani. Aliniambia haswa kilichokuwa kibaya na kwamba mtu alikuwa ametupa uchawi mkali kututenganisha. Aliandaa kazi maalum ya kiroho na uchawi wa kuungana tena kwangu — na ndani ya siku chache, mume wangu alinipigia simu ghafla, akilia na kuomba msamaha.
Tangu wakati huo, maisha yangu hayajawahi kuwa sawa. Ndoa yetu sasa ni tamu na yenye furaha zaidi duniani. Tunapendana zaidi kuliko hapo awali, na nyumba yetu imejaa vicheko na baraka.
Lakini si hayo tu — Dkt. Dawn pia alisaidia kuondoa bahati mbaya na nishati hasi iliyokuwa ikizunguka familia yetu. Tangu wakati huo, kila kitu kimekuwa laini: amani nyumbani kwetu, maendeleo ya kifedha, afya njema, na furaha safi.
Ninashukuru ulimwengu kila siku kwa kuniongoza kwa Dkt. Dawn. Kwa kweli ni mtu mwenye nguvu na mwanga wa kimungu. Ikiwa unapitia hali yoyote — huzuni, bahati mbaya, au mkanganyiko — usikate tamaa. Mfikie na uache ulimwengu ufanye kazi kupitia yeye ili kubadilisha hadithi yako, kama vile alivyobadilisha yangu.
Wasiliana naye kwenye WhatsApp: +2349046229159
Barua pepe: dawnacuna314@gmail.co
Post a Comment