IMEELEZWA kwamba mtu ambaye anatabasamu kila wakati huwa anaonekana mzuri na mtanashati kuzidi mtu ambaye saa zote yeye ni kununa tu. Wataalam mbalimbali wa masuala ya saikolojia wamefanya tafiti juu ya jambo hili na kubaini vitu kama hivyo.Wataalam kutoka Chuo Kikii cha Haverd nchini USA, walifanya utafiti na kubaini mtu ambaye ananuna kila wakati huwa anazeeka mapema na huonekana mbaya wa sura kutoka na sura yake kuzoea kujikunja. Ikiwa naye Mtaalam wa Saikolojia ya Mapenzi Richard Athony wa Uingereza katika utafiti wake anasema "Wanawake wanaochukia ndoa zao wengi wanaoneka kama wazee kutokana na kutokuwa na raha Wanawake wanatakiwa kuzifurahia ndoa zao ili kuepuka kuzeeka mapema" alisema Mtafiti huyo na kuongeza kuwa: "Uzee huo unatokana na kukoswa raha kila wakati jambo ambalo linawasababisha kutokujijari ikiwemo kuoga vizuri na kujipodoa" Je wewe mfuatiliaji wa blogu yako ya saikolojia umefanya utafiti juu ya suala hili na umegundua kitu gani? Changia maoni yako.

2 comments:
kunoga tu mkuu leo nimepitia tu HABARI JA RERO WE MUJAMAAAAAA
🌹 Ushuhuda Wangu Kuhusu Dkt. Dawn – Mtu Aliyerejesha Nyumba Yangu na Furaha Yangu
Nataka kushiriki ushuhuda wangu wa dhati kuhusu jinsi Dkt. Dawn alivyobadilisha maisha yangu kabisa.
Kwa karibu mwaka mmoja, mume wangu aliniacha mimi na watoto wetu wawili. Aliacha kujali, akaacha kupiga simu, na alikuwa ameenda kabisa. Nilikuwa nimevunjika moyo, nimechanganyikiwa, na karibu kupoteza tumaini. Kisha siku moja, rafiki aliniambia kuhusu Dkt. Dawn, mtu wa kiroho aliyepewa kipawa na ulimwengu kuwasaidia watu kurejesha upendo na amani.
Mwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini kitu kuhusu maneno yake kilinipa amani. Aliniambia haswa kilichokuwa kibaya na kwamba mtu alikuwa ametupa uchawi mkali kututenganisha. Aliandaa kazi maalum ya kiroho na uchawi wa kuungana tena kwangu — na ndani ya siku chache, mume wangu alinipigia simu ghafla, akilia na kuomba msamaha.
Tangu wakati huo, maisha yangu hayajawahi kuwa sawa. Ndoa yetu sasa ni tamu na yenye furaha zaidi duniani. Tunapendana zaidi kuliko hapo awali, na nyumba yetu imejaa vicheko na baraka.
Lakini si hayo tu — Dkt. Dawn pia alisaidia kuondoa bahati mbaya na nishati hasi iliyokuwa ikizunguka familia yetu. Tangu wakati huo, kila kitu kimekuwa laini: amani nyumbani kwetu, maendeleo ya kifedha, afya njema, na furaha safi.
Ninashukuru ulimwengu kila siku kwa kuniongoza kwa Dkt. Dawn. Kwa kweli ni mtu mwenye nguvu na mwanga wa kimungu. Ikiwa unapitia hali yoyote — huzuni, bahati mbaya, au mkanganyiko — usikate tamaa. Mfikie na uache ulimwengu ufanye kazi kupitia yeye ili kubadilisha hadithi yako, kama vile alivyobadilisha yangu.
Wasiliana naye kwenye WhatsApp: +2349046229159
Barua pepe: dawnacuna314@gmail.co
Post a Comment