Penzi ni kipofu. Penzi linatesa sana. Kwanini penzi linatesa? Mtaalam wa masuala ya mapenzi Pinig Huing wa china alibainisha kuwa penzi ni tamu kuzidi kila kitu hapa duniani na kuongeza kueleza kuwa penzi pia linaumiza sana.Hii ni kweli kabisa ndugu yangu yakupasa kuanzia sasa hivi utambue kuwa penzi ni tamu ukijua hilo ninaimani utamdhamini mpenzi wako na utampenda zaidi. Ili kuhakikisha unamjali mpenzi wako yakupasa uonyeshe upendo kila unapokuwa na mpenzi wako.
Katika dunia ya wapendanao unatakiwa kumjali dear wa moyo wako ili ajui kuwa unamjali jambo ambalo litawafanya muishi kwa furaha na raha za dunia kuziona. Hupaswi kuona kwa mwenzako jinsi anavyomjali dear wake halafu na wewe uanze kumjali mpenzi wako.
Katika vitu vya kuzingatia katika kumuonyesha mpenzi wako unamjali ni kumbusu kila wakati, kumkumbatia kila wakati, kumhondomola ipasavyo huku ukitumia kila staili za kuhondomola, hapo utakuwa umemjali mamsapu wako ipasavyo na jambo hilo hatakusahau kamwe atakuwa anakukumbuka hata kama ukiwa kazini.

1 comment:
🌹 Ushuhuda Wangu Kuhusu Dkt. Dawn – Mtu Aliyerejesha Nyumba Yangu na Furaha Yangu
Nataka kushiriki ushuhuda wangu wa dhati kuhusu jinsi Dkt. Dawn alivyobadilisha maisha yangu kabisa.
Kwa karibu mwaka mmoja, mume wangu aliniacha mimi na watoto wetu wawili. Aliacha kujali, akaacha kupiga simu, na alikuwa ameenda kabisa. Nilikuwa nimevunjika moyo, nimechanganyikiwa, na karibu kupoteza tumaini. Kisha siku moja, rafiki aliniambia kuhusu Dkt. Dawn, mtu wa kiroho aliyepewa kipawa na ulimwengu kuwasaidia watu kurejesha upendo na amani.
Mwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini kitu kuhusu maneno yake kilinipa amani. Aliniambia haswa kilichokuwa kibaya na kwamba mtu alikuwa ametupa uchawi mkali kututenganisha. Aliandaa kazi maalum ya kiroho na uchawi wa kuungana tena kwangu — na ndani ya siku chache, mume wangu alinipigia simu ghafla, akilia na kuomba msamaha.
Tangu wakati huo, maisha yangu hayajawahi kuwa sawa. Ndoa yetu sasa ni tamu na yenye furaha zaidi duniani. Tunapendana zaidi kuliko hapo awali, na nyumba yetu imejaa vicheko na baraka.
Lakini si hayo tu — Dkt. Dawn pia alisaidia kuondoa bahati mbaya na nishati hasi iliyokuwa ikizunguka familia yetu. Tangu wakati huo, kila kitu kimekuwa laini: amani nyumbani kwetu, maendeleo ya kifedha, afya njema, na furaha safi.
Ninashukuru ulimwengu kila siku kwa kuniongoza kwa Dkt. Dawn. Kwa kweli ni mtu mwenye nguvu na mwanga wa kimungu. Ikiwa unapitia hali yoyote — huzuni, bahati mbaya, au mkanganyiko — usikate tamaa. Mfikie na uache ulimwengu ufanye kazi kupitia yeye ili kubadilisha hadithi yako, kama vile alivyobadilisha yangu.
Wasiliana naye kwenye WhatsApp: +2349046229159
Barua pepe: dawnacuna314@gmail.co
Post a Comment