Showing posts with label Macho. Show all posts
Showing posts with label Macho. Show all posts

Sunday, November 23, 2008

Macho yanahamasisha Penzi


Kumbuka ya kweamba macho ni kiungo kizuri sana kwani kazi yake ni muhimu katika binadamu ambapo hasa tunayatumia katika kitendo cha kuona, ila kuna siri kubwa kama huijui leo hii mimi nakuambia ili uanze kuitumia sasa hivi.


Seri hiyo ni kwamba macho pia yanaweza kuhamasisha mapenzi au kumvutia mtu kutaka kufanya mapenzi na wewe, ukiyatumia vizuri hakika utaona mabadiliko kati yako na mpenzi wako. Tafadhali anza sasa hivi kuyatumia macho yako vizuri ili kumvutia mpenzi wako.