
Wanaume wanaovaa tai inabainishwa kuwa wengi wa wanaume hao ni watu walio na nidhamu kubwa na wanajiheshimu kwa kiasi fulani japo kuwa wapo wanaume wengine ambao wanavaa tai lakini hawajiheshimu. Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali zilizofanya na wataalamu wa saikolojia duniani, zinaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 80% ya wanaume wanaovaa tai ni wale walio na nidahumu ya hali ya juu na asilimia 20% tu ya wanaume ambao hawavai tai yaani wanavaa nguo mbalimbali yakiwemo mavazi kama jinsi, tisheti nk, ndio wale ambao hawana nidhamu.
