
Ndugu zangu hasa wale wanaohusudu mapenzi kumbukeni ya kwamba uso wako ndio kivutio cha kwanza cha mpenzi wako, wataalamu wa mapenzi wanatuambia kuwa binadamu waliowengi huchagua wapenzi kwa kuangalia uso wake.
Hii ni dhahili kabisa kuwa kila mtu anapotaka kuwa na mpenzi wake cha kwanza kumvutia ni uso wake, harafu umbo la mwili linafuata. Sadiki ya kwamba umukute mwanamke au mwanaume ambaye uso wake umeharibika ila anaumbo zuri tu, halafu niambie kata wewe unatafuta mchumba utafanya nini?
Kwa kila mtu nina maana ya mwanaume na mwanamke wote mnatakiwa kujipamba kila wakati na kuvaa nguo zinazovutia kwa kila wakati, wengi wa wanaume hawapendi kutumia vipodozi iti wanadai kuwa vipodozi ni za wanawake! ahaa! nani kakuambia hivyo acha mambo ya kizamani wewe mwanaume podoa mwili wako ili uwe na mvuto kwakila mtu.
