Ndugu unayefuatilia blogu yangu ya kuelimisha zaidi napenda kukuambia kuwa usafi wa nguo za ndani ni muhimu katika maisha yako ili kudumisha penzi zaidi jitahidi kuwa msafi wa nguo za ndani kwani wanawake wengi wanapenda Mwanaume msafi vilevile Wanaume wengi wanapenda sana wanawake wasafi na wananukia nanukato mazuri.
Kama ulikuwa unajisahau kufua labda chupi, na nguo zingine za ndani jitahidi sana kuwa unafua ili ziwe safi kabia, ukiwa unafanya hivyo nakuhakikishia asilimia mia utakuwa umemuteka mpenzi wako yaani mpaka watu watasema labda umemupa dawa za mapenzi kumbe hakuna isipokuwa tu unajua jinsi ya kumuhendo.
Wanawake na baadhi ya wanaume huwa wanajisahau kufua nguo zao mpakazinakuwa zinatoa harufu kumbuka kuwa hiyo ni kero kwa mpenzi wako, nguo inapotoa harufu husababisha mahaba kupungua kiasi fulani kwa hiyo kuanzia sasa zingatia usafi wa nguo zako za ndani.
1 comment:
jamani naomba msaada hicho ni nini? mbona hajavaa chu*** huyu dada vipi? lakini utamu ni uleule au
Post a Comment