Tuesday, December 9, 2008

wanawake wenye hips pana


Mtaalam wa saikolojia Prisca Janny alibainisha kuwa wanawake wenye hips kubwa ni wepesi sana wa kupata mimba tofauti na wanawake wenye hips nyembamba (milonjo) alielezea katika kitabu chake cha "Hips love" cha mwaka 2008 kuwa wanawake hao wenye hips kubwa wakilala na wanaume huwa ni rahisi sana kunaswa na mimba.


Pia nchini Uholazi Mtafiti wa masuala ya kizazi Christopher Bincom aliandika katika kitabu chake cha "Birth and Risk" cha mwaka 2004 kuwa wanawake wenye hips pana wanaweza kupata mima kwa haraka zaidi. Pia alifafanua kuwa wengi wa wanawake hao huwa wanazaa watoto wa jinsia ya kike kutokana na kuwa wengi wanawahi sana kufikia kilele ambapo wanasababisha maji mengi kujaa kwenye sehemu ya chakua cha usiku kwahiyo maji hayo yanasababisha mbegu za kiume Y kushindwa kupenya mpaka kwenye yai.


Alibainisha kuwa mbe za Kike X huwa zinaweza kuogerea kwenye maji mengi zaidi ya mbegu za kiume hiyo ndio maana zinapenya haraka mpaka kwenye yai kuliko mbegu za kiume Y.



Pozi linadumisha penzi

Ndugu yangu kumbuka kuwa pozi lako nalo ni chachu ya kudumisha penzi unatakiwa kukaa katika mapozi ya mvuto kwa mpenzi wako. Katika tafiti mbalimbali ikiwemo ya Mary Jackson zinabainisha kuwa wanawake wenye mapozi mengi wanapendwa na wanaume wengi zaidi ya wale ambao hawajui mapozi.

Naye Horaw Pierre wa ufarasa alifanya utafiti katika jiji la maraha kuzidi majiji yote duniani "Paris" na kubaini kuwa wanawake wengi wenye mapozi wanapendwa sana na wanaume lakini wengi wa wanawake hao wanaolewa lakini ni wepesi sana wa kuachika kutokana na fikra zao za kujihisi kuwa wao ni wazuri na kufanya kiburi kwa waume zao. Pia naye Ching Annig wa china alibainisha katika utafiti wake kuwa lisha ya kupedwa na wanaume wengi pia wanawake hao wenye mapozi ni wataalam sana wa kula chakula cha usiku kuliko wale ambao hawana mapozi.


Je wewe mfuatiliaji wa mblogu hii unasemaje juu ya suala hili ni kweli wanawake wenye mapozi wanapendwa na wanume zaidi ya wale ambao hawana mapozi?

Penzi halina Mzee


Nani alikuambia kuwa mzee hapendwi na vijana? nani alikuambia kuwa mzee hajui kuhondomola? nani alikuambia kuwa mzee hajui kuonyesha penzi la kweli? Katika dunia hii penzi ni kitu kizuri sana.


Kuna watu wengine wanasema mimi siwezi kuolewa na mzeee? na wengine mimi siwezi kuoa mtu ambaye ananizidi umri yote hayo ya nini? kwani penzi linazeeka? Penzi daima si la mzee wala kijana peke yake bali penzi ni la wote.


Kuna rafiki yangu mmoja wa kiume anahela za kawaida tu, na ana gari moja alinunuliwa na mpenzi wake, huyo rafiki yangu aliwahi kuniambia yeye habagui cha mwanamke mzee au msichana anachojali ni yule ambaye ana hela tu. Nilishanga sana nikajua rafiki yangu hana penzi la kweli kwa wanawake.


Ndugu kitu cha msingi ambacho ninataka nikueleze ni kwamba kama wewe umetokea kumpenda mtu ambaye ni mkubwa kuzidi wewe usimuache kwa kisingizio cha ukubwa bali uangaliwe penzi la kweli kama unampenda na yeye pia anakupenda basi yawapasa muoane na penzi lenu litadumu kwa sababu mnapendo la rohoni.

Usingizi wa Penzi la Kweli hudumiaha penzi.


Mpenzi mfuatiliaji wa blogu yako ya saikolojia kumbuka kuwa penzi ni gharama ni lazima uligharamie ili uweze kulifaidi vizuri. Kwahiyo kumbuka kuwa hata wakati mlalapo na mpezi wako unatakiwa kuonyesha kuwa unampenda zaidi katika dunia hii, kwahiyo unatakiwa kumjali wako mahabuba wakati wote kuanzia chakula cha usiku mpaka wakati mmelala.


Katika kumjali hivyo unatakiwa kumkumbatia mpenzi wako pindi munampomaliza kula chakula cha usiku na kumuuliza "umeridhika na chakula nilichokupa?" Kama atajibu ndio, basi mkumbatie ili mlale vizuri mpaka asubuhi usidiliki kumuacha , kwani wataalam wa mambo ya ma lov dav wanabainisha kuwa joto lampenzi wako akiamuka asubuhi hata kamaataenda kazini lazima atakuwa analihisi katika mwili wake na hiyo ndio itamusababisha akupende zaidi.

Lips za mdomo zinavuti kufanya mapenzi

Wataalam wa masuala ya mapenzi wanabainisha kuwa lips za mdomo zinahamasisha mapenzi, hii ni kutokana na tafiti mbalimbali za wanasaikolojia juu ya suala hilo. Mwanasaikolojia Leonard Charles wa Urusi katika tafiti yake aliyoifanya mwaka 1883 aligundua kuwa wanawake wenye lips kubwa wanahamasisha chakula cha usiku tofauti na wanawake wenye lips ndogo.

Mnamo mwaka 2007 naye Mwanasaikolojia Joseph Havas alibainisha ya kwamba wanawake wenye lips kubwa wanahamasisha mwanaume kuamua kumpiga denda mwanake huyo ambapo pia naye Suzzy katika utafiti wake juu ya suala hilo aliwafanya wake utafiti katika jimbo la Texas alibainisha kuwa wanawake wenye lips kubwa wanapendwa na wanaume zaidi ya wanawake wenye lips ndogo.


Mpenzi mfuatiliaji wa blogu hii je, wewe unapenda mwanamke wa aina gani kati ya hao? niandikee maoni ili kuweza kufanikisha utafiti ninaoufanya mimi hapa tanzania.