
Penzi la kweli ni lile la kuaminiana na kujaliana kwa kila jambo. Penzi la kweli halipimwi na utajiri. Penzi la kweli halipimwi na vigezo. Penzi la kweli halina mfupi na mrefu. Penzi la kweli halina Muzungu na Mwafrika. Bali penzi la kweli ni kupendana kutoka rohoni.