Mwanaume mzuri mara nyingi anakuwa hana pendo la kweli pendo lake labda ni kutaka kitu fulani kwa mwanamuke harafu mwanake huyo akikoswa kile anachokitaka anamupiga chini.
Mwanaume mwenye mvuto anakuwa na tabia ya kupenda kutolewa auti na wanawake ambao wengi wake wanaweza kuwa wnamzidi umri kwa ababu tabia za mwanaume huyo huwa zimezoea kupewa hela na wanawake.
Mwanaume mzuri ni mshawishi kwa wanawake kwani unaweza kumuona anakufaa kumbe umechanganikiwa na mvuto wa sura yake kwahiyo atakochokuambia wewe unakubari tu.