kuuma kwa penzi kila mtu anajua penzi linavyouma kwani wengi wetu tumeelekeza kwenye kuhondomola la hasha penzi lipo tu wakati wowote sehemu yoyote ilatu hisia zako zinapozidi ndipo unaanza kuona umepena,lakini siku zote penzi huanzia kwako ukisha jiona umejipenda ndipo unaanza kupenda kitu ,mtu,vinavyokuzunguka ,kwa hiyo kwanza jipende kisha penda.
1 comment:
kuuma kwa penzi kila mtu anajua penzi linavyouma kwani wengi wetu tumeelekeza kwenye kuhondomola la hasha
penzi lipo tu wakati wowote sehemu yoyote ilatu hisia zako zinapozidi ndipo unaanza kuona umepena,lakini siku zote penzi huanzia kwako ukisha jiona umejipenda ndipo unaanza kupenda kitu ,mtu,vinavyokuzunguka ,kwa hiyo kwanza jipende kisha penda.
Post a Comment