Sunday, November 2, 2008

Kukaa uchi ni mhimu


Ndugu msomaji na mfuatiliaji wa blogu yangu jifunze kuwa wakati mwingineunapokuwa na mwandani wako wakati mukiwa chumbani jitahidi sana kuacha sehemu ya mwili wako uchi jaribu kuacha mara mapaja yako wazi au kama umevaa nguo fupi ipandishe juu uache sehemu zako wazi hapo ndiyoutamukamata mpenzi wako kabisa.


Kama wewe na mwanamke fanya hivyo hata wakina baba nao munapokuwa chumbani na mwandani wako jaribu kuacha wazi baadhi ya sehemu zako za mwili ukiwa kifua kiacha wazi pamojana mapaja yako ukiha acha wazi bsi msogekelee mpenzi wako na kumukumbatia kisha mwambie kwa upole neno "Nakupenda sana mpenzi" harafu mubusu na kumushikashika sehemu zake, hakina nakuambia ukifanya hivyo penzi lako na mpenzi wako tadumu milele na mlele.

No comments: