Ili kujiepusha na maumivu makali yanayotokana na kuachwa na mpenzi wako au kumuona mpenzi wako haeleweki kukujali! cha kufanya usikasirike wala kuhuzunika sana kwani ukihudhunika sana unaweza kupata ugonjwa wa moyo, cha kufanya jitahidi kufanya mazoezi kula wakati ili kuuweka mwili wako katika hali ya kuchangamukavilevile mazoezi yatakufanya kuchoka kwahiyo ukienda kulala hutatumia muda wote kuwa macho ukimfikiria mwa ndani wako aliyekuacha auambaye hataki kuwa na wewe karibu.
Sunday, November 2, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment