Sunday, November 2, 2008

Tabia za Mwanaume Mzuri

Mwanaume mzuri mara nyingi anakuwa na tabia ya kiburi kwa wanawake, anapenda sana kumtesa mpenzi wake kutoka na mpenzi wake labda kuonekana kuwa, huwa anamubebeleza kila wakati, huyo huyo mwanaume mzuri ana tabia ya kuwa na marafiki wengi wa kike kutokana na wanawake wengi wanapenda kutembea na wanaume wenye mvuto hata kama watakuwa hawafanyi mapenzi nao utamukuta mwanamke anapenda kutembea nao.

Mwanaume mzuri mara nyingi anakuwa hana pendo la kweli pendo lake labda ni kutaka kitu fulani kwa mwanamuke harafu mwanake huyo akikoswa kile anachokitaka anamupiga chini.
Mwanaume mwenye mvuto anakuwa na tabia ya kupenda kutolewa auti na wanawake ambao wengi wake wanaweza kuwa wnamzidi umri kwa ababu tabia za mwanaume huyo huwa zimezoea kupewa hela na wanawake.
Mwanaume mzuri ni mshawishi kwa wanawake kwani unaweza kumuona anakufaa kumbe umechanganikiwa na mvuto wa sura yake kwahiyo atakochokuambia wewe unakubari tu.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Maneno mazuri: Lakini pia kama mwanaume anajiona ni mzuri afadhali awe na mwanamke mzuri ili kupunguza taabu. Pia kama we mbaya basi oa mke mbaya. Kwani kama we mzuri ukioa mke mbaya basi kila siku itakuwa kero mi mzuri, au mimi mbaya. kwa hiyo kama wote mkiwa wabaya au wazuri hakuna ugomvi

Fita Lutonja said...

Dada yasintaasante kwa ushauri mzuri bila shaka wasomaji wa blogu hii watatekeleza hayo wakati wakitka kuchagua wapenzi wa moyo zao