Neno nakupenda ni neno zito ana katika penzi ukilitumia vizuri neno hili hakika hutaachwa na mpenzi wako. watu wengi hawajui jinsi ya kulitumia neno hili NAKUPENDA. Hili neno unatakiwa kulitumia kila wakati unapokuwa na mpenzi wako.
Ukilitumia vizuri hakika utasitawisha penzi na kulifanya likue kwa kasi ya ajabu ebu ndugu msomaji wa blogu yangu kuanzia sasa jaribu kulitumia hili neno nakupenda nakuhakikishia utaona matokeo yake.
Hata kama mpenzi wako alikuwa anatarajia kutoka nje hapo utakuwa umeshaanza kumteka na kumrudisha dani ya himaya yako taratibu. Kuanzia sasa acha kumkaripia mpenzi wako bali muite mkumbatiena mwambie "Nakupenda sana Mpenzi wangu"
No comments:
Post a Comment