Kama utakuwa mpenzi wako umekosea haupaswi kunyamaza huku akiendelea kukuchukia ukinyamaza utasababisha penzi lenu kuelekea kuvunjika. unachotakiwa kama kweli umemukosea mpenzi wako basi tafuta siku au musubili akirudi kutoka kazini muandalie chakula kitamu kweli kweli akija mutengee hicho chakula sogea karibu mule wote kwa pamoja hata kama umeshiba jaribukuwa nae karibu.
Akimaliza kula chakula mupelekee maji ya kuoga akisha maliza kuonga akija chumbani kulala basi muazishie hiyo habari uliyomkosea kwa kumuambia "mpenzi najua nilikukosea sana nakuomba unisamehe mpenzi wangu, hakika sitakuudhi tena kwani mimi nakupenda sana" hapo endelea kumbembeleza ili akusamehe na akikubali kukusamehe basi mwambie "asante kwa kunisamehe mpenzi wangu"

1 comment:
Nimeamua kuandika hivyo
Post a Comment