Wednesday, December 10, 2008

Ukiwa beach


Japo kama umetoka na mpenzi wako mkaenda ufukweni kupungwa upepo huku mukiinjoi maisha ya huko cha msingi hakikisheni munafanya mamboyenu bila kuogopana ili mkitoka pale kila mmoja amelizika na huduma ya mwenzake. Munatakiwa kkubebana na kubusiana kila mmoja na malov dav mengine.


Mtaalam mmoja wa mapenzi aliwahi kusema "kubadilisha mazingira kwa wapendanao husababisha upendo kuongeza" pia aliongeza kuwa "jambo hilo linasababisha kudumisha penzi na kuaminiana katika penzi"

1 comment:

Anonymous said...

Utake usitake lakini mambo ndio hayo ukifanya vizuri utapendwa na kila mtu