Tuesday, December 9, 2008

Lips za mdomo zinavuti kufanya mapenzi

Wataalam wa masuala ya mapenzi wanabainisha kuwa lips za mdomo zinahamasisha mapenzi, hii ni kutokana na tafiti mbalimbali za wanasaikolojia juu ya suala hilo. Mwanasaikolojia Leonard Charles wa Urusi katika tafiti yake aliyoifanya mwaka 1883 aligundua kuwa wanawake wenye lips kubwa wanahamasisha chakula cha usiku tofauti na wanawake wenye lips ndogo.

Mnamo mwaka 2007 naye Mwanasaikolojia Joseph Havas alibainisha ya kwamba wanawake wenye lips kubwa wanahamasisha mwanaume kuamua kumpiga denda mwanake huyo ambapo pia naye Suzzy katika utafiti wake juu ya suala hilo aliwafanya wake utafiti katika jimbo la Texas alibainisha kuwa wanawake wenye lips kubwa wanapendwa na wanaume zaidi ya wanawake wenye lips ndogo.


Mpenzi mfuatiliaji wa blogu hii je, wewe unapenda mwanamke wa aina gani kati ya hao? niandikee maoni ili kuweza kufanikisha utafiti ninaoufanya mimi hapa tanzania.

3 comments:

MARKUS MPANGALA said...

mmm ukizilamba zinalambika ukitomasa zinatomasika. ebwa eeeee hivi inakuwaje tena maana mhh ha ha ha ha ana LIPS pana akicheka ana mwanya. haya mambo bwana UTAMU wa VITAMU

Fita Lutonja said...

Hizo lips ni mbomba kweli lakini wanasaikolojia wanatubainishia ya kwamba lips ni mojawapo ya sehemu ya kufanyia sex

Fadhy Mtanga said...

Ni mwenye lips pana, kimapenzi huvutia,
Mwanya kwangu siyo sana, ingawa nauzimia,
Lips zavuta sana, huongezea hisia,
Ni lipsi pana.

Hizo we' acha kabisa, raha zinakupatia,
Pale zikikutomasa, na busu kukupatia,
Huiamsha hamasa, mapenzi kufurahia,
Ni lipsi pana.