Friday, January 22, 2010

Uchumba na Marafiki

KUTOKANA na blogu hii kuwa ni mojawapo ya kivutio kwa watu mbalimbali dunia, baachi ya wadau wa wamependekeza kuwepo na nafasi za watu kujitokeza na kutafuta wachumba na marafiki. Wafuatao wanatafuta wachumba na marafiki:
Anaitwa Asha Hamis jinsia mwanamke anasoma chuo kikuu cha Dodoma, umri wake ni miaka (23) ,mrefu wa wasitani, rangi yake ya maji ya kunde, msafi na anapenda kuolewa, amejitokeza katika safu hii ya blogu akitafuta mchumba ambaye atakuja kuwa mume wake kipenzi cha moyo. Habagui kabila wala dini bali anachohitaji ni mwanaume. Kama yupo ambaye ameguswa naye awasiliane naye kwa namba 0719 030354
Pia naye Subira Juma wa Tanga, umri miaka 43, jinsia mwanamke, kazi ni mfanyabiasha wa bidhaa za magari, naye amejitkeza kupitia E-mail ya blogu hii ambayo ni: fitazi@hotmail.com akitafuta mume wa kumuoa ambaye anaumri wa kuanzia miaka 23 hadi 60. Kama yupo mwanaume huyo awasiliane naye kwa namba 0787 183736
Kama unatafuta mchumba,rafiki, mke mume au unataka ushauri wa kidoa, unahitaji maisha ya furaha siku zote, Andika shida yako na utume kupitia E-mail ya blogu hii: fitazi@hotmail.com au wasiliana nasi kwa simu namba: 0764 992264. Usihangaike tuma sasa hivi.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

nafurahi kuona umerudi tena na umerudi na nguvu mpya.

Fita Lutonja said...

Asante sana dada yangu nilikuwa nimebanana sana na majukumu ya kiulimwengu dada ila nashukuru kwa kunukaribisha na mimi nakutakia uendelee na ukarimu wako mzuri kwani wanasaikolojia wanasema kila binadamu ameumbwa tofauti kimawazo