Monday, March 7, 2011
Wanablugu Nimerudi Tena
NIMERUDI tena baada ya kutingwa na kazi nyingi sana! Ila kwa sasa nimerudi kwenye chakula chetu cha kila siku nilikimis sana nilikuwa nakosa nguvu kwa sababu ya kukosa chakula chetu kwa wale ambao wanataka kujua nilikuwa wapi? Nilikuwa nimebanwa na jamaa mmoja anayeitwa muda hakika nilikuwa mutumwa wa muda kila kitu huyu muda alikuwa ananiamulisha! lo! Nimekoma na huyu muda!Hakiaka angekuwa anaonekana ningemkomoa kwelikweli! Ila nawapenda wote wanablogu wenzangu mmmwaaaaaa!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
5 comments:
Karibu sana tena sana kwenye dunia hii ya kubog. UPENDO DAIMA!!
Haiiya, nimeshukuru kwa kunikaribisha. Nami nasema asante sana
Karibu sana mkuu , natumai tutakuwa bega-kwa bega katika ulingo huu wa blog, kwani wewe ni mzoefu wa kazi hii. TUPO PAMOJA MKUU
fita lutonja nadhani kimya kingi kina mshindo mkuu. karibu tena na pole na maisha ya huko 'mafichoni'
Asanteni sana kaka Mwaipopo na Emu kwa mchango wenu. Natumai tuko pamoja
Post a Comment