Wednesday, November 5, 2008

Furaha ya Harusi


Binadamu ameumbwa na elementi chocgezi za kureta furaha, huzuni, hasira, kucheka, kuchukia n.k, lakini binadamu tuliowengi tukiwa tunafunga ndoa huwa tunajawa na fura kubwa sana, lakini baada ya kuanza kuishi na mke au mme furaha inapotea kunazuka kuchukiana na ugonviwakati mwingine.


Hii ni hatari kweli ndugu mpenzi msomaji wa blogu yako hii! ila kwa ushauri wangu nakuomba hata kama umeikia katika maisha ya kuishi na wako kipenzi nakuomba usimuchoke kwani kumuchoka ndiyo chanzocha ugonvi, kununiana, hasira nk.


2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Je? wewe mwenyewe umeoa, Ila ni kweli maisha ya ndo ni uvumilivu hata kama mlipendana kabla ya ndao kupita kiasi, labda inawezekana mlikuwa hamonani kila siku, hamli pamoja kila siku, hamlali kitanda kimoja kila siku, hamui pamoja wakati wote halafu sasa ghafla kila kitu kufanya pamoja.

Fita Lutonja said...

Asante dada yasinta kwa maoni yako ni kweli kabisa hayayote uliyosema yafanya kuwa hivyo