Thursday, May 21, 2009

Penzi la Wahindi

KARIBU tena ndugu zangu leo napenda kujua zaidi kuhusiana na mwananke wa kihidi na wakiafrika nani mzuri zaidi na nani anahusudu mapenzi kuliko. Kwani kumekuwepo na mkanganyiko wengine wanasema wahindi wanabaridi sana wengine wanasema waafirika wanajoto sana je, ni kweli? Wengine wafrika ni wazuri wengine wahindi ni wazuri. Sasa tujadili kupitia maoni yenu.

5 comments:

chib said...

Swali gumu, linatakiwa mtu mwenye uzoefu na pande hizo mbili au ameweza kuishi na jamii hizi 2 ndio anaweza kutoa hisia zake.

Simon Kitururu said...

Swala hili hutegemea mtu mwenyewe upendacho!Mimi binafsi kuna baadhi ya Wahindi nawapenda kama tu ilivyo kuwa kuna baadhi ya Waafrika niwapendavyo.

EDWIN NDAKI (EDO) said...

Kwa kweli wahindi nahisi wanaweza kuwa wammoto kwa sababu wanakula pilipili nyingi :D

Anonymous said...

utamu wa mapenzi upo kwenye ubongo wa mhusika kwa hiyo mhindi au muafrika ataoneka mtamu kutegemea unampenda kiasi gani. Lakini ngoma ya kibantu tamu zaidi

Come 'n See said...

Kwa kweli hiyo ni swali lenye kujibiwa na mtu aliyewahi kula mhindi na mwafrika.