
Kwa hiyo ili kufikia malengo na mikakati ya maisha yako unatakiwa kujitambua uko katika sehemu ipi hasa unapowaza mikakati ya maisha yako.
Usikubali kuyapa nafasi kubwa mawazo yasiyokuwa na manufaa katika maisha yako jitahidi kuyatupilia mbali na kukubaliana na mawazo ambayo yatakuletea manufaa, amini kuwa hujazaliwa masikini bali umezaliwa kuishi kutokana na unavyotaka.
Kumbuka kuwa mikakati ya mawazo yako ndiyo yatakufanya ufikie malengo, anza sasa kuwaza mafanikio hakika utaona.
1 comment:
kaka nimekubaliana na mada zako na mimi nimeshakuwa mtu wa ku copy na kupaste kwa blo yako karibu ktk blog yangu
Post a Comment