i) Hakikisha unakuwa karibu na mumeo
ii) Mumeo akirudi kutoka safarini au kazini mupokee kwwa mabusu na upendo wa hali ya juu
iii) Kama utakuwa na nafasi jitahidi kumuandikia msg mumeo za upendo na kumfariji
iv) Na mwisho kumbuka kuwa munapokuwa katika sita kwa sita jitahidi kutoa sauti ya mahaba huku ukijitahidi sana kumpa penzi kutumia ujanja wako, na kama atamaliza mwambie "POLE MUME WANGU"
Kwa leo ninakomea hapo kumbuka kuwa wanaume ni watu wa kujaliwa kila wakati na kubembelezwa Mwanasaikolojia wa mapenzi Dr. Linda wa chuo kikuuu cha Oxford aliwahi kunena ya kwamba hakuna dawa ya mapenzi zaidi ya kuonyesha upendo kwa umupendae.
10 comments:
Swafia sana mwanamke mwenye mpododo kama huo yani we acha tu.
Asante sana ndugu yangu endelea kuangali na kusoma blogu ya Saikolojia. ila nakuomba ungechangia maoni kwa kutumia jina lako au E- mail yako.Asante.
Ni kweli penzi ni maua. Mada imetulia.
Asante sana kwa kuendelea kutoa maoni
Haya maoni yametulia kwel kweli. Blogu namna hii nchi zilizoendelea si nyingi zinazowalenga wanawake ambao wanasahau mapenzi (na kudumisha ukali zaidi); nyingi zinawalenga zaidi wanaume. Hivyo wanawake wengi hawana mabwana. Hapa Afrika ndo maana Wanaijeria wengi wanakimbilia wanawake wa Kibongo kwa kuwa wamejawa mapenzi yanayonyauka nchi nyingine...
Asante sana kwa maoni mazuri
Nimeipenda sana hii Mada nitakutafuta ili tuangalie namna ya kufanya ili ujumbe ufike kwa watu wengi zaidi maana watu wengi wa maisha ya kawaida hatujui kutumia Computer na hivyo hawawezi kusoma jumbe kama hizi
Hamna penzi tamu kama la chuma mboga yani raha ile mbaya.
Amazing
it true
Post a Comment