Wednesday, December 10, 2008

Penzi la Kweli


Penzi la kweli ni lile la kuaminiana na kujaliana kwa kila jambo. Penzi la kweli halipimwi na utajiri. Penzi la kweli halipimwi na vigezo. Penzi la kweli halina mfupi na mrefu. Penzi la kweli halina Muzungu na Mwafrika. Bali penzi la kweli ni kupendana kutoka rohoni.

2 comments:

MARKUS MPANGALA said...

mwanawane hapo vipi? mkuu mambo haya matamu sana hakika hivi. inakuwaje tena mlimbwende huyu umemnasa wapi tena? huyu mwambie tu aje anikolohue nafsi maana mimi na mabinti damdamu

Anonymous said...

Huyu bwana nimemunasa sehemu nitamuambia aje akukonge moyo wako