Tuesday, December 9, 2008

Pozi linadumisha penzi

Ndugu yangu kumbuka kuwa pozi lako nalo ni chachu ya kudumisha penzi unatakiwa kukaa katika mapozi ya mvuto kwa mpenzi wako. Katika tafiti mbalimbali ikiwemo ya Mary Jackson zinabainisha kuwa wanawake wenye mapozi mengi wanapendwa na wanaume wengi zaidi ya wale ambao hawajui mapozi.

Naye Horaw Pierre wa ufarasa alifanya utafiti katika jiji la maraha kuzidi majiji yote duniani "Paris" na kubaini kuwa wanawake wengi wenye mapozi wanapendwa sana na wanaume lakini wengi wa wanawake hao wanaolewa lakini ni wepesi sana wa kuachika kutokana na fikra zao za kujihisi kuwa wao ni wazuri na kufanya kiburi kwa waume zao. Pia naye Ching Annig wa china alibainisha katika utafiti wake kuwa lisha ya kupedwa na wanaume wengi pia wanawake hao wenye mapozi ni wataalam sana wa kula chakula cha usiku kuliko wale ambao hawana mapozi.


Je wewe mfuatiliaji wa mblogu hii unasemaje juu ya suala hili ni kweli wanawake wenye mapozi wanapendwa na wanume zaidi ya wale ambao hawana mapozi?

6 comments:

MARKUS MPANGALA said...

Mkuu hii picha mbona unanipa ajali sana? nimepata ajali hivi karibuni mara baada ya kuiona hii picha. sasa Mkuu mbona inabidi niandikiwe RB ya polisi labda itanisaidia. Hii picha kuna mahali naona giza kwani ghafla nimepata ajali kaka.
ha ha ha ha ha haya Mkuu utamu wa mambo unahitaji HAMU lakini UTAMU WA MAUMBILE upoje? ha ha ha usicheke mkuu
kwaherii

Fita Lutonja said...

Umenichekesha sana kaka. Hapo kweli kitu kimetulia

MARKUS MPANGALA said...

mtu wangu nimepata ajali hapa nilipo maana itabidi uwaite polisi wanipeleke upanga la sivyo nafwaaaaaa. mmm mkuu si umeona kilivyonona sasa hii jalai kwangu siyo mchezo yaaaaannni we acha tu

Fita Lutonja said...

Ngoja nimwambie huyu dada aje huko akusaidie kukupepeta utamu

MARKUS MPANGALA said...

anaweza kutwanga nakupepeta kweli? maana namchngulia sana ile sehemu inakuwa kama almasi vile ni wapi pale kigogo kwa mbele au kwa nyuma?
mkuu nachungulia kinoma yaani pasua kichwa

John Mwaipopo said...

Mie sichangii naogopa