Je, unapokuwa na mpenzi wako huwa unatabasamu? au unanuna kama unakamuliwa jibu? kumbuka kuwa kununa kunasababisha mpenzi wako akuchoke mapema zaidi au kukuacha kabisa. Nakushauri kuanzia sasa hivi jitahidi sana kuwa unatabasamu kila wakati kwani binadamu tumeumbwa na upendo kwa kila mtu, japo kama utajua jinsi ya kumfanya mpenzi wako akupende. Katika dunia hii hakuna dawa ya mapenzi bali dawa ya mapenzi unayo wewe mwenyewe. Kuwa makini utaacha watafuatwa wanaojua kupenda na kuhondomola.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment