Mpenzi mfuatiliaji wa blogu yako ya saikolojia kumbuka kuwa penzi ni gharama ni lazima uligharamie ili uweze kulifaidi vizuri. Kwahiyo kumbuka kuwa hata wakati mlalapo na mpezi wako unatakiwa kuonyesha kuwa unampenda zaidi katika dunia hii, kwahiyo unatakiwa kumjali wako mahabuba wakati wote kuanzia chakula cha usiku mpaka wakati mmelala.
Katika kumjali hivyo unatakiwa kumkumbatia mpenzi wako pindi munampomaliza kula chakula cha usiku na kumuuliza "umeridhika na chakula nilichokupa?" Kama atajibu ndio, basi mkumbatie ili mlale vizuri mpaka asubuhi usidiliki kumuacha , kwani wataalam wa mambo ya ma lov dav wanabainisha kuwa joto lampenzi wako akiamuka asubuhi hata kamaataenda kazini lazima atakuwa analihisi katika mwili wake na hiyo ndio itamusababisha akupende zaidi.
2 comments:
jamani mwenzenu napata ajali hapa mbona natamani sana usingizi huo?
mkuu ebu niambie haya mambo
gizi huu unaendena na joto la raha murua
Post a Comment