Ebu fikiria iwapo inatokea siku moja, mpenzi wako akakusaliti na kwenda kumpa chakula cha usiku mtu mweingine utajisikiaje? au itokee siku mpenzi wako akaamua kukuacha na kwenda kuolewa na mtu mwingine.
Fikria maumivu utayoyapata ni ya aina gani? Hakika penzi ni tamu kwelikweli hasa kwa yule anayempenda kwa moyo wote. Sasa tujadiliane unasemaje?
4 comments:
Nina HAMU sana unajua? ninaHAMU mpka nashindwa kujizuia? NinaHAMU mpaka najisikia kulia, nina hamu mapka naona natetemeka. Mapenzi MATAMU jamani naomba kusaka mlimbwende anipe HAMU ya kuwa na UTAMU duuu nimechangaykiwa au? kwaheriii mkuu
Utamu huu ulitoka wapi au Mungu aliutoa wapi? Mimi sijui labda muniambie
haufananani na chochote, ndio maana watu hujitoa roho pale mapenzi yanapowaendea kombo
acha izooo mkuu.
Post a Comment