BILA shaka msomaji wa blogu hii unampenda sana wako kipenzi na yawezekana unafanya kama huyo hapo kwenye picha anavyofanya kuonyesha kuwa mnapendana sana, na ikifika wakati wa chakula cha usiku unabonyeza/ unabonyezwa vizuri tu na unasugua kwa uraini huku utamu wa mpenzi wako unausikia vizuri. Ebu fikiria iwapo inatokea siku moja, mpenzi wako akakusaliti na kwenda kumpa chakula cha usiku mtu mweingine utajisikiaje? au itokee siku mpenzi wako akaamua kukuacha na kwenda kuolewa na mtu mwingine.
Fikria maumivu utayoyapata ni ya aina gani? Hakika penzi ni tamu kwelikweli hasa kwa yule anayempenda kwa moyo wote. Sasa tujadiliane unasemaje?

5 comments:
Nina HAMU sana unajua? ninaHAMU mpka nashindwa kujizuia? NinaHAMU mpaka najisikia kulia, nina hamu mapka naona natetemeka. Mapenzi MATAMU jamani naomba kusaka mlimbwende anipe HAMU ya kuwa na UTAMU duuu nimechangaykiwa au? kwaheriii mkuu
Utamu huu ulitoka wapi au Mungu aliutoa wapi? Mimi sijui labda muniambie
haufananani na chochote, ndio maana watu hujitoa roho pale mapenzi yanapowaendea kombo
acha izooo mkuu.
Ushuhuda Wangu wa Kutoka Moyoni 💖
Baada ya baba yangu mdogo kuniacha kwa miezi saba mirefu, nilikuwa nimevunjika moyo kabisa. Alinizuia kwenye mitandao yote ya kijamii, akaondoka, na hakukuwa na njia ya kumfikia. Karibu nikate tamaa, lakini ndani kabisa nilijua singeweza kupata mtu yeyote ambaye angenipenda na kunitendea jinsi alivyonitendea.
Siku moja, bosi wangu kazini aligundua jinsi nilivyokuwa na huzuni na akanitambulisha kwa Dkt. Dawn. Dkt. Dawn alisikiliza hadithi yangu na akaahidi kwamba mpenzi wangu angerudi kwangu ndani ya siku tatu. Kwa kweli, sikuamini mwanzoni—lakini kwa mshangao wangu mkubwa, siku ya tatu simu yangu iliita. Ilikuwa yeye! Alikuwa akilia na kuomba msamaha, akisema hataniacha tena.
Tangu siku hiyo, uhusiano wetu umekuwa na nguvu na uzuri zaidi kuliko hapo awali. Amekuwa akipenda na kunijali mimi na mtoto wetu, na sasa tunafunga ndoa katika miezi miwili tu! ❤️
Shukrani zote kwa Dkt. Dawn, ambaye kwa kweli alifanya jambo lisilowezekana liwezekane. Ninampendekeza kwa moyo wote kwa yeyote anayekabiliwa na changamoto katika:
Masuala ya uhusiano au ndoa
Ugonjwa au magonjwa
Matatizo ya utasa au bahati nasibu
Kesi za mahakamani au urejeshaji wa mali
Dkt. Dawn kweli hutatua matatizo kwa ufanisi na hurudisha furaha katika maisha ya watu.
Wasiliana na Dr. Dawn kwenye WhatsApp: +2349046229159
Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com
Post a Comment