Tuesday, December 9, 2008

wanawake wenye hips pana


Mtaalam wa saikolojia Prisca Janny alibainisha kuwa wanawake wenye hips kubwa ni wepesi sana wa kupata mimba tofauti na wanawake wenye hips nyembamba (milonjo) alielezea katika kitabu chake cha "Hips love" cha mwaka 2008 kuwa wanawake hao wenye hips kubwa wakilala na wanaume huwa ni rahisi sana kunaswa na mimba.


Pia nchini Uholazi Mtafiti wa masuala ya kizazi Christopher Bincom aliandika katika kitabu chake cha "Birth and Risk" cha mwaka 2004 kuwa wanawake wenye hips pana wanaweza kupata mima kwa haraka zaidi. Pia alifafanua kuwa wengi wa wanawake hao huwa wanazaa watoto wa jinsia ya kike kutokana na kuwa wengi wanawahi sana kufikia kilele ambapo wanasababisha maji mengi kujaa kwenye sehemu ya chakua cha usiku kwahiyo maji hayo yanasababisha mbegu za kiume Y kushindwa kupenya mpaka kwenye yai.


Alibainisha kuwa mbe za Kike X huwa zinaweza kuogerea kwenye maji mengi zaidi ya mbegu za kiume hiyo ndio maana zinapenya haraka mpaka kwenye yai kuliko mbegu za kiume Y.



8 comments:

MARKUS MPANGALA said...

mwanawane HIPS ukizishika, ukipapasa hadi moyo unasuuzika. ukitazam HIPS zilivyo mapigo yanakweda mbio. ukikamata vilivyo hps mweeeeee UTAMU wa MAUMBILE ni nini? jamani haya mambo bwana kunoga sana MWAAAAAAAAAAAAAAAAAA mpaka raha
mkuu Fita tupe mambo zaidi maana mmmmmmm

MARKUS MPANGALA said...

mmm nilisahau unakuta kikalio kinatikisika kwa mbaaaaaliiiii siyo wowowo kubwa hapo noma ila kile kikalio ambacho kimenona hips imenona yaani imekaa katika sentimenta sahihi. we acha tu ukitingisha mbona unapata ajali sana

Fita Lutonja said...

Utamu wa maumbile ni zaidi ya utamu wote duniani hapo ndio Mungu aliumba

Fita Lutonja said...

Kweli kikalio ambacho kimejaa mambo furani utamu wake hunoga unaweza kupiga mayowe bila kujijua

MARKUS MPANGALA said...

yaaani makeleleyake mpka weweeeeeee mambo iko hukuuuu mbona mnanikatisha uhondoooooo. mtu wangu kuna vikuku siku hizi umri mdogo lakini wamejazia vimenona, akitingisha tu mwenyewe nayumba kwa midundo ya KWAITO si umeskiliza ule wimbo wa mwanamuziki MANDOZA unaitwa NKALAKATHA yaani hapo ni full mauno tu hakuna KUREMBA ni KUJILAMBALAMBA TU

MARKUS MPANGALA said...

salaleeeeeee huyu mbona kama namfahamu!!! mkuu hebu nipe dili kwamza, namfahamu mtu huyu au uwongo. kwaheriiiiiiiiiii ha ha ha ha ha

Unknown said...

Kweli kabisa

Unknown said...

Kweli kabisa