Sunday, November 23, 2008

Kumbuka kuwa nywere zinaweza kuhamasisha mapenzi.


Ndugu mada hii inakusa wanawake, napenda kuwaambia ya kwamba kulingana na tafiti zilizofanya na wanazuoni mbalimbali akiwemo wakongwe wa masuala ya mapenzi kama wakina Dr. Leonard Mashindano, James Ngoye, Zuzzy Gurter na wengine. Tafiti hizo zinaonyesha kuwa nywere kwa mwanamke ni mhimu sana kwani ni mojawapo ya kivutio kikuu katika suala zima la malove dav hasa mwanaume wengi wanavutiwa sana na mwanamke ambaye anaseti nywere zake kwa staili nzuri.


Sasa hapo kazi kwako mpenzi mfuatiliaji wa blogu hii kumbuka kuwa kuaanzia sasa jitahidi kuseti mwere zako hata kama huna hela za kwenda salon siku hizi mitaani kuna salon nyingi tu za bei poa nenda katika hizo salon seti nyere zako hakika kama unampenzi utaona mabadiliko atakuwa anakupenda zaidi ya mwanzo kwani wanaume tunahusudu sana nywere.

No comments: