Sunday, November 23, 2008

Macho yanahamasisha Penzi


Kumbuka ya kweamba macho ni kiungo kizuri sana kwani kazi yake ni muhimu katika binadamu ambapo hasa tunayatumia katika kitendo cha kuona, ila kuna siri kubwa kama huijui leo hii mimi nakuambia ili uanze kuitumia sasa hivi.


Seri hiyo ni kwamba macho pia yanaweza kuhamasisha mapenzi au kumvutia mtu kutaka kufanya mapenzi na wewe, ukiyatumia vizuri hakika utaona mabadiliko kati yako na mpenzi wako. Tafadhali anza sasa hivi kuyatumia macho yako vizuri ili kumvutia mpenzi wako.

6 comments:

MARKUS MPANGALA said...

kuna mimacho inaogopesha kama chatu, kuna tumacho tukali kama chui, kuna macho matamu kama usingizi, kuna macho yakikutazama tu unahisi hamu ya kuonoga na kula tunda, ile hamu ipasayo kuliwa kwa kila mmoja lakini awe amehalalishwa. kuna macho yanakuita kila uyatazamapo. kuna macho yakikuona yanalia na kubembeleza hamu lakini Je macho ni muhimu katika kuleta HAMU? jE HAMU NI NINI?

Fita Lutonja said...

Macho muhimu sana katika kuleta hamu ndio maana wanawake wengi huwa wanalegeza macho yao wakati wakila kile chakula cha usiku ili kumtia hamasa zaidi mwanaume katika kuchughulika kukitafuna hicho chakula.

Pia hamu ni ile mwamko wa kutaka kula chakula cha usiku

Unknown said...

Samahani nifundisheni kutumia macho me nataka kumpagawisha Shem wenu

Unknown said...

Samahani nifundisheni kutumia macho me nataka kumpagawisha Shem wenu

Unknown said...

Mbona hamunijibu

Unknown said...

Mbona hamunijibu