Sunday, November 23, 2008

Uso ni kivutio cha kila mtu


Ndugu zangu hasa wale wanaohusudu mapenzi kumbukeni ya kwamba uso wako ndio kivutio cha kwanza cha mpenzi wako, wataalamu wa mapenzi wanatuambia kuwa binadamu waliowengi huchagua wapenzi kwa kuangalia uso wake.


Hii ni dhahili kabisa kuwa kila mtu anapotaka kuwa na mpenzi wake cha kwanza kumvutia ni uso wake, harafu umbo la mwili linafuata. Sadiki ya kwamba umukute mwanamke au mwanaume ambaye uso wake umeharibika ila anaumbo zuri tu, halafu niambie kata wewe unatafuta mchumba utafanya nini?


Kwa kila mtu nina maana ya mwanaume na mwanamke wote mnatakiwa kujipamba kila wakati na kuvaa nguo zinazovutia kwa kila wakati, wengi wa wanaume hawapendi kutumia vipodozi iti wanadai kuwa vipodozi ni za wanawake! ahaa! nani kakuambia hivyo acha mambo ya kizamani wewe mwanaume podoa mwili wako ili uwe na mvuto kwakila mtu.

3 comments:

MARKUS MPANGALA said...

ikikuona inakuita, inakuhitaji na kukubembeleza sana, inataka ujue hamu inahitaji nafasi, lakini Je dada zetu mbona wanatumaliza kwa nyuso za kuchonga? lakini utamu unaambatana na uso? ewe mpenda utamu wa kulila tunda au chakula cha usiku asemavyo mwenye blogu, vipi sisi tunaokula mchana huku tukikomba majasho na kuwaza kutochelewa nyumbani, sisi tunakulana na kulambana ge******** za mlango unaofungwa kwa jiwe? mweee utamu ukikolea unafanyaje, ukikamatwa utaficha sura ua sehemu za si***** kazi kwenu lakini inanoga hii kitu etiiiii

Fita Lutonja said...

Ahaaa!! eeee heee! yaani umenifurahisha sana ahahahahaaa! kweli kwa wale wanaokula mchana huku wakiwaza kuchelewa nyumbani ni jambo la kisaikolojia zaidi kwani kuna wataalamu wanasema kuwa ukila hicho chakula huku ukiwa na wasiwasi unaweza kuathiri ubungo na kushindwa kufaidi zaidi hicho chakula.

Lakini inategemea pia na mazoe na tamaduni za mtu unaweza kula chakula chako mchana huku mlango umefunga kwa jiwe lakini chakula kikanoga na kukolea mpaka ukatamani kupiga mwano u weeee kwa utamu wenyewe Hayaaa!!!

Anonymous said...

Sidhani kama uso ndo kivutio cha kila mtu. Ninaweza nikasema uso ni sehemu tu ya kukaribisha mwanzo wa fikra za mwanaume kwa mwanamke. Lakini at the end of the day, inaishia kuwa uso si kila kitu katika suala zima la mapenzi na mahusiano. Kuna mambo mengi yayojumuisha katika kuvutiwa na atlast kumpenda mtu, tabia,upendo,usafi,......you name it.

MdauzJP