Sunday, November 23, 2008

Kunenepeana sana


Siku moja nilkuwa chuo na rafiki yangu wa kike beatrece tulikuwa tumekaa kwenya sehemu ya kupumuzikia baadaye akapita Mwanaume mmoja karibu na sisi shutukia rafiki yangu ananiambia "ebu! muangalie yule baba, yaani mimi sipendi kuolewa na wanaume wanene walio na kitambi" nami sikumuuliza kwa nini hapendi.


Ila nikaamua kufanya utafiti (reseach) juu ya jambo hilo mwishoni wa utafiti wangu kulikuwa ni asilimia 91% ya wanawake niliowafanyia utafiti walisema hawapendi kufanya mapenzi na wanaume wanene au kuolewa na wanaume hao, na asilimia 9% tu ya wanawake waliopenda kufanya mapenzi na wanaume wanene au kuolewa nao.


Baadaye tena niakaumua kuwafanyia utafiti wannaume ambao wanapenda wanawake wanene nikapata asilimia 62% ya wanaume walidai wanapenda wanawake wanene na asilimia 48% walidai wanapenda wanawake wembamba yaani model.


Ndugu mfuatiliaji wa blogu hii wewe uko upande gani ponyeza kwenye neno toa maoni halafu niandikie wewe unapenda wanawake/wanaume wa aina gani? kumbuka maoni yako ni mchango mkubwa sana katika kuendeleza utafiti huu. Asante.

1 comment:

Anonymous said...

Sijui unene unaozungumziwa hapa niupi (wa kupitiliza au wawastani) but Mimi binafsi napenda wanawake wa size ya kati (yaani si wanene sana wala wembamaba sana) lakini ninacho amini mapenzi ya ukweli kabisa ni yale ya kupendana nyinyi wenyewe kwa jinsi mlivyo wether ni wanene au si wanene.