Saturday, December 27, 2008

Mavazi ni mojwapo ya kuvutia penzi


Ndugu ili upendwe unatakiwa kuwa mbunifu wa mavazi yako, uanatakiwa kutambua mavazi ambayo yanamfurahisha mpenzi wako, jambo hilo linatia hamasa ya mpenzi wako kuvuta hisia hata kama anakuhondomola, akikumbuka unavyovaa nguo zako na kukufiti anapata hamasa zaidi ya kukushughulikia ipasavyo.
Katika tafiti mbalimbali za wataalamu wa mapenzi wanafafanua kuwa binadamu akiwa anafanya mapenzi huwa fikra zake zinatawaliwa na kumfikiria mpenzi wake. Jambo hili humpelekea kupata hisia kali za kumkubuka jinsi anavyomjari, anavyovaa, anavyojituma, anavyoongea, sauti yeke jinsi ilivyotamu yote haya huwa yanaingia katika fikra za wapendanao wakati wakiwa wanakulana au kuhondomolana jambo ambali pia huwafanya wanamaliza mapema, pia humusababisha mwanamke kutoa kilio cha utamu anaoupata kwenye fikra zake, na mwanaume anaweza kutoa milio pia ya kusikia utamu unazidi jinsi anavyohondomola na kupata hisia kali za mpenzi wake.

5 comments:

Fadhy Mtanga said...

nakubaliana nawe kuwa mavazi ni chachu ya mapenzi.unapomwona msichana,ile namna alivyovaa huleta mvuto wake.na ndo maana husemwa fulani kavaa kimitego.mitego ndo hayo aliyoyavaa.hata mpenzi wako,kama huwa mtanashati wakati wote hukuvutia zaidi kuliko yule anaekuwa rafu.ni hayo tu!

Fita Lutonja said...

Fadhy ni kweli kabisa hasa ukimkuta anayejua kutega unaweza kuumia bila hata hujaanza kuhondomola

Koero Mkundi said...

Ahsantekwa kunitembelea kaka Fita.
Lakini Blog yako Mmmmmmmm!!!!
Kaaaazi kweli kweli.

Fita Lutonja said...

aya asante Koero Mkundi nimefurahi sana. Hasa ninapokumbuka kuwa kublogu ni sawa chakula chetu yaani bila kublogu ni sawa na kushinda njaa.

MARKUS MPANGALA said...

KUHONDOMOLA NI NINI JAMANI? au dada Koero unajua tujuze nawe kama wajua?