Sunday, November 23, 2008

Kuvaa Tai


Wanaume wanaovaa tai inabainishwa kuwa wengi wa wanaume hao ni watu walio na nidhamu kubwa na wanajiheshimu kwa kiasi fulani japo kuwa wapo wanaume wengine ambao wanavaa tai lakini hawajiheshimu. Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali zilizofanya na wataalamu wa saikolojia duniani, zinaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 80% ya wanaume wanaovaa tai ni wale walio na nidahumu ya hali ya juu na asilimia 20% tu ya wanaume ambao hawavai tai yaani wanavaa nguo mbalimbali yakiwemo mavazi kama jinsi, tisheti nk, ndio wale ambao hawana nidhamu.

3 comments:

MARKUS MPANGALA said...

KUVAA TAI safi na kutamu sana, inajenga heshima kwa kila rika, inakupa nafasi ya kuheshimika hata kama jambazi au vipi?
lakini ni vizuri kuwa na nidhamu katika maisha hongera

Fita Lutonja said...

Hiyo ni kweli kabisa rafiki yangu Markus na inajenga heshima kwa kila mtu anayevaa tai pamoja na hayo huwezi kumju mtu tabia yake lakini wataalamu wa mambo ya saikolojia wanatuambia kuwa wengi wanaovaa tai hata kama ni mkolofi huwa wanapunguza ukorofi wanapokuwa wamevaa tai

mafuru said...

maoni yangu safi