Sunday, November 23, 2008
Wanawake wembamba watalamu wa chakula cha usiku
Imebainishwa kuwa wanawake wengi wembamba ni watalamu wa mapenzi kuzidi wanawake wanene, hii inatokana na tafiti mbalimbali zilizofanya na watalamu wa masuala ya mapenzi kama wakina Leticia Jackson wa US, Prof. Benjamin James wa Ufaransa, Dr. Edward Huloww wa Uingereza, hawa watalamu katika tafiti zao walizofanya katika nchi mbalimbali zinaonyesha kuwa asilimia 85 ya wanawake wembamba wanajua staili nyingi za kuhondomolana wakati wa chakula cha usiku, na asilimia 15 ya wanawake wanene ndio wanaojua kula vizuri chakula cha usiku. Je wewe unasemaje kama umefanya tafiti zako niandikie utoe maoni yako.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
9 comments:
Inawezeana ni kweli kwamba wanawake vimbaombao (portable) ni wataalamu wa chakula cha usiku ingawa bado haileti maana halisi kwani baadhi ya tamaduni na maeneo tofauti Wanwake wanene ndo huonekana mafundi zaidi, inawezekana wanawake wembamba wanapewa credit za kuwa ni wataalamu kwa sababu ya maumbo yao kuwa flexible kitandani, ingawa kuna tafiti nyingi pia zinaonesha linapouja suala la hamu ya chakula, au libido, a sex drive au nani anakula chakula mara nyingi bado wanawake wote wana nafasi sawa, haijalishi yupo Afrika, ulaa au Amerika.
Pia utafiti hauweki wazi je utaalamu wa chakula ni style zinazotumika peke yake au ni chakula kuwa kitamu na kikaridhisha kwa anayekula na mtayarishaji?.
Tukichukulia kipengele cha Style kuwa ndiyo utaalamu basi utafiti huo una pendelea kwani chakula cha usiku si style peke yake bali utamu cha chakula chenyewe, hamu na pendo.
Ukweli unabaki kwamba mwanamke awe mnene, mwemmbamba, mfupi, mrefu, mweusi,mweupe, maskini au tajiri anaweza kuwa mtaalamu au anaweza kuwa kilaza.
Pia utafiti wa Marekani hauwezi kukidi haja ya wanwake wa Afrika na pia kila jamii ina tumaduni tofauti, na sina maana wanawake wakiachie na kuwa wanene kama kitimoto hapana uliza mpenzi wako anataka uweje.
Hayo ni mawazo yangu binafsi
Asante sana kwa mawazo yako kaka Mbilinyi wataalamu wa masuala y mapenzi hapo wanazungumzia kuhusiana na staili ya kuhondomola kile chakula ila kuhusiana na utamu wa chakula chenyeweinatengemea umemupenda kiasi gani kwani utamu unakuja pale unapo jisikia wakati unakula kile chakula.
Asante sana.
Mapenzi matamu ukiwa na ahamu, na ukimpata uyle unayempenda hakika huishiwi hamu utapenda awe kwako daima sijui akiwa mwembamba au mnene lakini utamu wa mtu ni hamu na ulaini wake yaani kuwa flexible mikunjo na mikao mitamu ya kila namna, tena mikao hiyo iwe inakupa hamu. unaweza kumpata mtu amabye kimbaumbau lakini asiwe mtamu kama ambavyo ungempata mwingine mnene wastani. Je utamu wa penzi ni nini? mikao,hamu,penzi, au nini? jamani ila inanoga sana ila kitu halafu ukiweka na lile jani kisha ukalivu**** mmm inakuwa usingizi mtamu lakini unahitaji mtamu wa kuleta hamu
Markus rafiki yangu penzi hakika ni tamu sana kuzidi kila kitu hsa kwa wale ambao wanajua kulitumia utamu wa hili penzi unafananishwa na utamu wa kiroho!!! duh!! yaani wewe acha tu
Kaka,
nimefika kwenye blog yako wakati natoka kwa Markus. Nimeipenda blog yako. Karibu sana katika ulimwengu wa kublog. Pia karibu kijijini kwangu.
Sasa narudi kwenye maoni, nakubaliana mia kwa mia labda kasoro chache. Wanawake vimbaumbau wanasisimua kaka. Wana mvuto fulani katika mahabu juu ya uwanja wa fundi selemala.
Hawachoki haraka na hawakuchoshi haraka. Hili nadhani ni jambo muhimu sana katika kukidhi haja.
Lakini haimaanishi kuwa wale wanene hawana raha. Kuna watu ukiwaambia hivyo wanaweza hata kukufumua ngumi kaka. Jambo la muhimu ni mapenzi ya mtu.
Hata kama apple ni tunda tamu, haina maana watu wote watapenda apple. Wapo watakaopenda embe, wapo wataopenda nanasi.
Pamoja na yote, mwanamke ni mwanamke. Asikwambie mtu.
Ni hayo tu.
Mtangaunachosema ni kweli kaka wapo watu wanapenda wanawake
Mtanga
wanene sana wengine wanape nda wa kadili kidogo na wengine wembamba sasa hapo inategemea na fikra za mtu ila katika staili wataalam wa mapenzi wanatuambia kuwa wembamba ni wataalam wa staili nyingi ambazo kwa mtumiaji wa chakula hicho unaweza kujikuta unapiga hata kerere kwa jinsi atakavyo kulisha mwanamke mwembamba.
Asante sana
SWALI: CHAKULA CHA USIKU NDIYO NINI? msaada hapo sijui
Chakula cha usiku ni kile chakula cha wapendanao chenye utamu kuzidi chakula chote hapa katyika sayari ya dunia hasa utamu wake unakolea pale ukipata mtu ambaye anajua kuhondomola
Natafuta Sugar Mummy anayependa mapenz ya aina zote. Mi ni graduate na ni mstaarabu sana,pia ni msiri. Anitafute kwenye mstaarabu@gmail.com
Post a Comment