Sunday, November 23, 2008
Wanawake wembamba watalamu wa chakula cha usiku
Imebainishwa kuwa wanawake wengi wembamba ni watalamu wa mapenzi kuzidi wanawake wanene, hii inatokana na tafiti mbalimbali zilizofanya na watalamu wa masuala ya mapenzi kama wakina Leticia Jackson wa US, Prof. Benjamin James wa Ufaransa, Dr. Edward Huloww wa Uingereza, hawa watalamu katika tafiti zao walizofanya katika nchi mbalimbali zinaonyesha kuwa asilimia 85 ya wanawake wembamba wanajua staili nyingi za kuhondomolana wakati wa chakula cha usiku, na asilimia 15 ya wanawake wanene ndio wanaojua kula vizuri chakula cha usiku. Je wewe unasemaje kama umefanya tafiti zako niandikie utoe maoni yako.
Kuvaa Tai
Wanaume wanaovaa tai inabainishwa kuwa wengi wa wanaume hao ni watu walio na nidhamu kubwa na wanajiheshimu kwa kiasi fulani japo kuwa wapo wanaume wengine ambao wanavaa tai lakini hawajiheshimu. Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali zilizofanya na wataalamu wa saikolojia duniani, zinaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 80% ya wanaume wanaovaa tai ni wale walio na nidahumu ya hali ya juu na asilimia 20% tu ya wanaume ambao hawavai tai yaani wanavaa nguo mbalimbali yakiwemo mavazi kama jinsi, tisheti nk, ndio wale ambao hawana nidhamu.
Macho yanahamasisha Penzi
Kumbuka ya kweamba macho ni kiungo kizuri sana kwani kazi yake ni muhimu katika binadamu ambapo hasa tunayatumia katika kitendo cha kuona, ila kuna siri kubwa kama huijui leo hii mimi nakuambia ili uanze kuitumia sasa hivi.
Seri hiyo ni kwamba macho pia yanaweza kuhamasisha mapenzi au kumvutia mtu kutaka kufanya mapenzi na wewe, ukiyatumia vizuri hakika utaona mabadiliko kati yako na mpenzi wako. Tafadhali anza sasa hivi kuyatumia macho yako vizuri ili kumvutia mpenzi wako.
Kumbuka kuwa nywere zinaweza kuhamasisha mapenzi.
Ndugu mada hii inakusa wanawake, napenda kuwaambia ya kwamba kulingana na tafiti zilizofanya na wanazuoni mbalimbali akiwemo wakongwe wa masuala ya mapenzi kama wakina Dr. Leonard Mashindano, James Ngoye, Zuzzy Gurter na wengine. Tafiti hizo zinaonyesha kuwa nywere kwa mwanamke ni mhimu sana kwani ni mojawapo ya kivutio kikuu katika suala zima la malove dav hasa mwanaume wengi wanavutiwa sana na mwanamke ambaye anaseti nywere zake kwa staili nzuri.
Sasa hapo kazi kwako mpenzi mfuatiliaji wa blogu hii kumbuka kuwa kuaanzia sasa jitahidi kuseti mwere zako hata kama huna hela za kwenda salon siku hizi mitaani kuna salon nyingi tu za bei poa nenda katika hizo salon seti nyere zako hakika kama unampenzi utaona mabadiliko atakuwa anakupenda zaidi ya mwanzo kwani wanaume tunahusudu sana nywere.
Kunenepeana sana
Siku moja nilkuwa chuo na rafiki yangu wa kike beatrece tulikuwa tumekaa kwenya sehemu ya kupumuzikia baadaye akapita Mwanaume mmoja karibu na sisi shutukia rafiki yangu ananiambia "ebu! muangalie yule baba, yaani mimi sipendi kuolewa na wanaume wanene walio na kitambi" nami sikumuuliza kwa nini hapendi.
Ila nikaamua kufanya utafiti (reseach) juu ya jambo hilo mwishoni wa utafiti wangu kulikuwa ni asilimia 91% ya wanawake niliowafanyia utafiti walisema hawapendi kufanya mapenzi na wanaume wanene au kuolewa na wanaume hao, na asilimia 9% tu ya wanawake waliopenda kufanya mapenzi na wanaume wanene au kuolewa nao.
Baadaye tena niakaumua kuwafanyia utafiti wannaume ambao wanapenda wanawake wanene nikapata asilimia 62% ya wanaume walidai wanapenda wanawake wanene na asilimia 48% walidai wanapenda wanawake wembamba yaani model.
Ndugu mfuatiliaji wa blogu hii wewe uko upande gani ponyeza kwenye neno toa maoni halafu niandikie wewe unapenda wanawake/wanaume wa aina gani? kumbuka maoni yako ni mchango mkubwa sana katika kuendeleza utafiti huu. Asante.
Uso ni kivutio cha kila mtu
Ndugu zangu hasa wale wanaohusudu mapenzi kumbukeni ya kwamba uso wako ndio kivutio cha kwanza cha mpenzi wako, wataalamu wa mapenzi wanatuambia kuwa binadamu waliowengi huchagua wapenzi kwa kuangalia uso wake.
Hii ni dhahili kabisa kuwa kila mtu anapotaka kuwa na mpenzi wake cha kwanza kumvutia ni uso wake, harafu umbo la mwili linafuata. Sadiki ya kwamba umukute mwanamke au mwanaume ambaye uso wake umeharibika ila anaumbo zuri tu, halafu niambie kata wewe unatafuta mchumba utafanya nini?
Kwa kila mtu nina maana ya mwanaume na mwanamke wote mnatakiwa kujipamba kila wakati na kuvaa nguo zinazovutia kwa kila wakati, wengi wa wanaume hawapendi kutumia vipodozi iti wanadai kuwa vipodozi ni za wanawake! ahaa! nani kakuambia hivyo acha mambo ya kizamani wewe mwanaume podoa mwili wako ili uwe na mvuto kwakila mtu.
Kusononeka sana
Ndugu msomaji na mfuatiliaji wa blogu yako ya saikolojia wataalamu wa saikolojia wanatuhabarisha kuwa binadamu anapokuwa na hudhuni sana anaweza kuwa na hatari ya kupata magonjwa mbalimbali ikiwemo kisukari, moyo, kutokwenda haja kubwa, kupunguza nguvu za mapenzi, kupungua uzito wa mwili, kuumwa kichwa sana, kupoteza mwelekeo katika mipango yako ya kiakili nk.
Kwahiyo ndugu unatakiwa kujitahidi kufurahia maisha yako kila wakati na unapojaribu kuufanya mwili wako kufurahi, lakini hautaki watalaamu wanakushauri kuwa fanya mazoezi au jichanganye na watu mbalimbali katika maongezi hudhulia ibada za dini na mikutano mbalimbali ya injili hapo utaona mabadiliko ndugu yangu.
Wataalamu wanakuambia hivi usisononeke sana hata kama umeachwa na mpenzi wako, au wewe ni masikini, huna uwezo darasani, sauti yako unapoongea ni mbaya, unapofanya kazi uliyoisomea unakosea, au unapokumbana na mikasambalimbali ya maisha just toa hiyo huzuni moyoni mwako na kuanza kufurahia maisha hata kama ni mabaya ukifanya hivi utazoea na utaona kama kawaida. "Mungu akubariki sana"
Wednesday, November 5, 2008
Furaha ya Harusi
Binadamu ameumbwa na elementi chocgezi za kureta furaha, huzuni, hasira, kucheka, kuchukia n.k, lakini binadamu tuliowengi tukiwa tunafunga ndoa huwa tunajawa na fura kubwa sana, lakini baada ya kuanza kuishi na mke au mme furaha inapotea kunazuka kuchukiana na ugonviwakati mwingine.
Hii ni hatari kweli ndugu mpenzi msomaji wa blogu yako hii! ila kwa ushauri wangu nakuomba hata kama umeikia katika maisha ya kuishi na wako kipenzi nakuomba usimuchoke kwani kumuchoka ndiyo chanzocha ugonvi, kununiana, hasira nk.
Machozi ya Penzi
Watu wengi hutoa machozi pale wanapoachwa na wapenzi wao, Mpenzi msomaji wa blogu yako uipendayo ya saikolojia leo nitakueleza kuhusiana na chozi la penzi: Unajua wataalamu wa mambo ya mapenzi wanasema kuwa Mwanamke ni mwepesi sana kutoa machozi pindi anapoachwa na mpenzi wake hii inatokana na mwanamke kuubwa na moyo wa kuwa na penzi la rohoni.
Wataalamu wa mambo ya mahaba wanasema kuwa wanawake wameumbwa kwa penzi la rohoni yaani la ndani tofauti na wanaume, hii ndiyo inasababisha mwanake akiachwa na mpenzi wake hujisikia vibaya na kujiona kama hafai kabisa kwa mwanaume yoyote kitendo ambacho kinamfnya anatoa machozi kwa wingi.
Mwanaume kaumbwa kwa penzi la fikra kama wanavyotufahamisha wataalamu wa mapenzi hii ndiyo maana wanaume wengi ni vigumu sana kulia pale wanapoachwa na wapenzi wao japo wapo wanaolia lakini sio wengi japokuwa huwa wanaumia sana rohoni lakini kutokana na elementi walizoumbwa nazo inakuwa vigumu kutoa machozi. "Nakusihi uendelee kuburudika zaidi na blogu yakousisahau kutoa maoni"
Monday, November 3, 2008
Usafi hudumisha Penzi
Ndugu unayefuatilia blogu yangu ya kuelimisha zaidi napenda kukuambia kuwa usafi wa nguo za ndani ni muhimu katika maisha yako ili kudumisha penzi zaidi jitahidi kuwa msafi wa nguo za ndani kwani wanawake wengi wanapenda Mwanaume msafi vilevile Wanaume wengi wanapenda sana wanawake wasafi na wananukia nanukato mazuri.
Kama ulikuwa unajisahau kufua labda chupi, na nguo zingine za ndani jitahidi sana kuwa unafua ili ziwe safi kabia, ukiwa unafanya hivyo nakuhakikishia asilimia mia utakuwa umemuteka mpenzi wako yaani mpaka watu watasema labda umemupa dawa za mapenzi kumbe hakuna isipokuwa tu unajua jinsi ya kumuhendo.
Wanawake na baadhi ya wanaume huwa wanajisahau kufua nguo zao mpakazinakuwa zinatoa harufu kumbuka kuwa hiyo ni kero kwa mpenzi wako, nguo inapotoa harufu husababisha mahaba kupungua kiasi fulani kwa hiyo kuanzia sasa zingatia usafi wa nguo zako za ndani.
Tiba ya Penzi
Penzi hutibiwa kwa maneno ndugu yangu kama hujui kubembereza basi wewe utajiona unamukosi na wapenzi unaokutana nao kwani hakika hutatulia na mpenzi mmoja! Kila utakayempata unadhani umepata wa kweli atakuacha.
Tiba kuu ya penzi kama hujui nakuomba ufuatilie blogu yangu kwa umakini yawezekana kuanzia leo ukawa hukimbiwi na kila mpenzi unayekuwa naye. Kwanza kabisa jitahiti kuwa na maneno matamu ya mahaba kila unapokuwa na mpenzi wako.
Maneno matamu hayo ni kama: "Mpenzi hakika nakupenda zaidi unavyofikria wewe" kumbuka neno hilo unatakiwa kulitoa wakati mumepumunzika au muko katika shughuli pevu ya kupeana malove davu, wakati mukiendelea kupeana ma lov unatakiwa kila wakati utoe miguno ya mahaba huku ukimutekenya mpenzu wako.
Maneno mengine ambayo unatakiwa kuyasema bila kuchoka ni wakati munapotaka kuanza malovu yenu hakikisha unamuambia mpenzi wako kwa sauti ya mahaba "Mpenzi nakuomba njoo unilalie mimi mwenzio mimeshindwa natamani uniingizie nifarijike na utamu wa shahawa yako" sema wala usione aibu mwambie tu kuwa " Mpenzi mbona mimi mwenzio nataka unisugue taratibu katika sehemu yangu huku ukinibusu na kuninyonya matiti yangu kwani mwenzio nateseka nakaribia kufa sasa tafadhri fanya haraka mpenzi angu"
Au kama anachelewa mushike kifaa chake kivutie sehemu husika hapo hata kama ni hanisi atatamani tu utamuona anakushugulikia ipasavyo, na mukimaliza kazi yenu mushukuru mwambie "hakika leo umenifurahisha sana asante mpenzi nakuomba uendelee kunifurahisha kila siku"
Vile vile tumia maneno matamu kila munapokuwa na mpenzi wako kuanzia sasa utaona pendo lenu litakapostawi hakuna kifani.
Sunday, November 2, 2008
Tabia za Mwanaume Mzuri
Mwanaume mzuri mara nyingi anakuwa na tabia ya kiburi kwa wanawake, anapenda sana kumtesa mpenzi wake kutoka na mpenzi wake labda kuonekana kuwa, huwa anamubebeleza kila wakati, huyo huyo mwanaume mzuri ana tabia ya kuwa na marafiki wengi wa kike kutokana na wanawake wengi wanapenda kutembea na wanaume wenye mvuto hata kama watakuwa hawafanyi mapenzi nao utamukuta mwanamke anapenda kutembea nao.
Mwanaume mzuri mara nyingi anakuwa hana pendo la kweli pendo lake labda ni kutaka kitu fulani kwa mwanamuke harafu mwanake huyo akikoswa kile anachokitaka anamupiga chini.
Mwanaume mwenye mvuto anakuwa na tabia ya kupenda kutolewa auti na wanawake ambao wengi wake wanaweza kuwa wnamzidi umri kwa ababu tabia za mwanaume huyo huwa zimezoea kupewa hela na wanawake.
Mwanaume mzuri ni mshawishi kwa wanawake kwani unaweza kumuona anakufaa kumbe umechanganikiwa na mvuto wa sura yake kwahiyo atakochokuambia wewe unakubari tu.
Muombe msahama
Kama utakuwa mpenzi wako umekosea haupaswi kunyamaza huku akiendelea kukuchukia ukinyamaza utasababisha penzi lenu kuelekea kuvunjika. unachotakiwa kama kweli umemukosea mpenzi wako basi tafuta siku au musubili akirudi kutoka kazini muandalie chakula kitamu kweli kweli akija mutengee hicho chakula sogea karibu mule wote kwa pamoja hata kama umeshiba jaribukuwa nae karibu.
Akimaliza kula chakula mupelekee maji ya kuoga akisha maliza kuonga akija chumbani kulala basi muazishie hiyo habari uliyomkosea kwa kumuambia "mpenzi najua nilikukosea sana nakuomba unisamehe mpenzi wangu, hakika sitakuudhi tena kwani mimi nakupenda sana" hapo endelea kumbembeleza ili akusamehe na akikubali kukusamehe basi mwambie "asante kwa kunisamehe mpenzi wangu"
Akimaliza kula chakula mupelekee maji ya kuoga akisha maliza kuonga akija chumbani kulala basi muazishie hiyo habari uliyomkosea kwa kumuambia "mpenzi najua nilikukosea sana nakuomba unisamehe mpenzi wangu, hakika sitakuudhi tena kwani mimi nakupenda sana" hapo endelea kumbembeleza ili akusamehe na akikubali kukusamehe basi mwambie "asante kwa kunisamehe mpenzi wangu"
Wakati wa kazi
Mukiwa kitandani na mpenzi wako jaribuni kulala bila nguo kwani kulala na nguo siku hizi kumepitwa na wakati kwahiyo munatakiwa kulala wote mukiwahamuna nguo hata moja isipokuwa shuka tu na shuka yenyewe ni vizuri ikawa moja.
Mukiwa mumelala mwanake unatakiwa kuchangamuka kwa kuanza kumuhamasisha mwandani wako labda kwa kumushika sehemu za hisia au kumukumbatia hukuukisema hilo neno "nakupenda dear mahabuba wa moyowangu" hapo ukimuona hata kama alikuwa amechoka kwa kazi hapo atachangamuka na kuanza kujibu mapigo hapo ndiyo kandamizia sasa na kumshika sawasawa huku ukiukamata uume wake na kuuweka sehemu husika akiinga tu muzungushe kama mashine hapo utamusikia akianza kutoa miguno tu hapo ndiyo unatakiwa sasa umukandamize palepale panapotakiwa utamusikia akimaliza kwa raha amvayo wote wawili hamtasahau utamu wake.
Kukaa uchi ni mhimu
Ndugu msomaji na mfuatiliaji wa blogu yangu jifunze kuwa wakati mwingineunapokuwa na mwandani wako wakati mukiwa chumbani jitahidi sana kuacha sehemu ya mwili wako uchi jaribu kuacha mara mapaja yako wazi au kama umevaa nguo fupi ipandishe juu uache sehemu zako wazi hapo ndiyoutamukamata mpenzi wako kabisa.
Kama wewe na mwanamke fanya hivyo hata wakina baba nao munapokuwa chumbani na mwandani wako jaribu kuacha wazi baadhi ya sehemu zako za mwili ukiwa kifua kiacha wazi pamojana mapaja yako ukiha acha wazi bsi msogekelee mpenzi wako na kumukumbatia kisha mwambie kwa upole neno "Nakupenda sana mpenzi" harafu mubusu na kumushikashika sehemu zake, hakina nakuambia ukifanya hivyo penzi lako na mpenzi wako tadumu milele na mlele.
Mwanbie Mpenzi wako Nakupenda
Neno nakupenda ni neno zito ana katika penzi ukilitumia vizuri neno hili hakika hutaachwa na mpenzi wako. watu wengi hawajui jinsi ya kulitumia neno hili NAKUPENDA. Hili neno unatakiwa kulitumia kila wakati unapokuwa na mpenzi wako.
Ukilitumia vizuri hakika utasitawisha penzi na kulifanya likue kwa kasi ya ajabu ebu ndugu msomaji wa blogu yangu kuanzia sasa jaribu kulitumia hili neno nakupenda nakuhakikishia utaona matokeo yake.
Hata kama mpenzi wako alikuwa anatarajia kutoka nje hapo utakuwa umeshaanza kumteka na kumrudisha dani ya himaya yako taratibu. Kuanzia sasa acha kumkaripia mpenzi wako bali muite mkumbatiena mwambie "Nakupenda sana Mpenzi wangu"
Usiteswe na Penzi
Ili kujiepusha na maumivu makali yanayotokana na kuachwa na mpenzi wako au kumuona mpenzi wako haeleweki kukujali! cha kufanya usikasirike wala kuhuzunika sana kwani ukihudhunika sana unaweza kupata ugonjwa wa moyo, cha kufanya jitahidi kufanya mazoezi kula wakati ili kuuweka mwili wako katika hali ya kuchangamukavilevile mazoezi yatakufanya kuchoka kwahiyo ukienda kulala hutatumia muda wote kuwa macho ukimfikiria mwa ndani wako aliyekuacha auambaye hataki kuwa na wewe karibu.
Uchungu wa Penzi
Penzi ni kitu ambacho kinauma sana, maumivu yake ni makali mno tofauti na maumivu mengine watu wengine wanapoachwa huwa wanadiliki hadi kulia! Hakika penzi huuma pale unapoachwa na mpenzi wako ambaye ulikuwa umemuweka katika roho yako.
Katika dunia hii watu wengi wameugua magonjwa mbalimbali kutokana na kuachwa. unapoachwa na mpenzi wako mara nyingi utakuwa umeathirika kisaikolojia kitendo ambacho kinaweza kukufanya kila wakati uwe unafikria mambo mengi sana. Ili kutibu ugojwa wa kujisikia mpweke la msingi ni kama wewe ni mwanafunzi tumia muda wako mwingi kujisomea kitendo ambacho kitakufanya umusahau mpenzi wako aliyekuacha. Kama wewe ni mfanyakazi labda katika ofisi tumia muda wako mwingi kujishughulisha na kazi za ofisini ukifnya hivyo hakika utasahau maumivu yataisha taratibu mengine ni kufanya mazoezi nk.
Subscribe to:
Posts (Atom)